Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imetoa taarifa kwamba ,Chaneli zifuatazo ziantakiwa kutazwamwa bure bila kulipia kwenye King'amuzi chako.
1.TBC2
2.ITV
3.CHANNEL TEN
4STAR TV
5.EATV
6.CLOUDTV
Ukiona unalipishwa hela ili kuangalia chaneli hizo, toa taarifa haraka sana kwa njia ya Email hii dg@tcra.go.tz au unaweza kuandika barua na kuituma kwa anuani ifuatayo
Mkurugenzi mkuu
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanai
14414SLP,474
DSM
ANGALIZO: Taarifa hii inawahuzi Watanzania waliopo Tanzania bara ambao wanatumia ving'amuzi vya Star Times,Digitek,Ting na Continental.
0 comments :
Post a Comment