LEMA APIGWA BUTWAA KALENGA....!





Mjumbe wa kamati kuu chadema na mbunge wa Arusha mjini akiongea kwa masikitiko makubwa jana katika mkutano wa hadhara jimbo la Kalenga katika  kata ya Maboga kijiji cha Kiponzelo akiona mtoto ambaye anaumri kama wa mwanae akiwa katika hali hiyo huku ikiwa mbunge aliekuwepo alikua waziri wa fedha, mtoto huyo hajui kitu kina itwa shule au darasa.(P.T)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment