Showing posts with label SIASA. Show all posts
Showing posts with label SIASA. Show all posts

CUF 'Yawashambulia' Wabunge Wake Wanaomtetea Maalim Seif

Chama cha Wananchi (CUF), kimewatuhumu wabunge wa chama hicho kwa kile ilichodai wamekuwa wakitetea na kulinda hadhi ya Katibu Mkuu wa c...
Read More

Kauli ya Serikali Kuhusu Milioni 50 Kwa Kila Kijiji

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema ahadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kutoa Sh50 milioni kila kijiji itaanza kuteke...
Read More

Sakaya amkingia kifua Maalim Seif bungeni......Ataka TAKUKURU Wamhoji Yeye

Mbunge wa Kaliua, Magdalena Sakaya (CUF) amesema Taasisi ya Kupambana na Rushwa (Takukuru) imhoji yeye  kuhusu fedha za chama hicho kuto...
Read More

Polepole Awafungukia Mbowe na Zitto Kabwe Baada ya Kutangaza Kuungana

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Ndg. Humphrey Polepole amewaonya Vongozi wa vyama vya Upinzani nchini, Mbowe pamoja na Zitto Kabwe baad...
Read More

Viongozi 11 Wa Upinzani Warushiwa Kombora La Ufisadi ....Zitto Kabwe Atajwa Kuwa Ni Namba Moja

TUHUMA NZITO ZISIZOKANUSHIKA ZINAZOWAKABILI VIONGOZI WA UPINZANI KUJINUFAISHA KUPITIA ELIMU NA VYEO VYAO. Ndugu, Watanzania na Ndugu ...
Read More

Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Kesho

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu kesho Juni 4, 2018 atafanyiwa upasuaji wa 21 wa kuunga goti la mguu wake wa kulia huk...
Read More

Dk Bashiru abadili msimamo Katiba mpya...."Siwezi Kuchambua Tena ,Mnataka Nifukuzwe?"

Katibu Mkuu mpya wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema msimamo wake kuhusu mabadiliko ya Katiba utakuwa tofauti na ule aliokuwa nao awali kabla...
Read More

UKUTA Waongeza Mapato ya Tanzanite Maradufu kwa Miezi Mitatu

Mikakati ya serikali kudhibiti utoroshwaji wa madini ya tanzanite imefanikisha mapato ya madini hayo kuongezeka, ikielezwa kuwa mapato...
Read More

Katibu Mkuu Mpya CCM: Nitakuwa Mtendaji Zaidi Kuliko Kufanya Siasa za Majukwaani

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amesema hataonekana katika majukwaa ya siasa kwa sababu yeye ameteuliwa kuwa ...
Read More

PICHA: Kinana Akabidhi Ofisi Kwa Katibu Mpya wa CCM

Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo Alhamisi Mei 31, 2018 amemkabidhi ofisi mrithi wake, Dk Bashiru Ally katika ofisi ndo...
Read More