Showing posts with label KITAIFA. Show all posts
Showing posts with label KITAIFA. Show all posts

Mwekezaji katika klabu ya Simba, Mohammed Dewji anapenda kutoa taarifa kuwa ameanzisha tuzo ambazo zitakuwa zikitolewa kwa wachezaji, viongozi na mashabiki wa klabu ya Simba ambazo amezipa jina la Mo Simba Awards. Kwa mara ya kwanza tuzo hizi zitatolewa siku ya Jumatatu, tarehe 11 Juni, 2018 katika hoteli ya Hyatt Regency – Kilimanjaro iliyopo Jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zitakuwa na vipengele 16, ambavyo ni Mchezaji Bora wa Mwaka, Goli Bora la Mwaka, Golikipa Bora wa Mwaka, Beki Bora wa Mwaka, Kiungo Bora wa Mwaka, Mshambuliaji Bora wa Mwaka, Shabiki Bora wa Mwaka na Tuzo ya Heshima. Tuzo zingine ni Mchezaji Bora Mwanamke wa Mwaka, Mchezaji Bora Mdogo wa Mwaka, Tuzo ya Benchi la Ufundi, Kiongozi Bora wa Mwaka, Tuzo ya Wasimamizi wa Mchakato wa Mabadiliko, Mhamasishaji Bora wa Mwaka katika Mitandao ya Kijamii, Mhamasishaji Bora wa Mwaka na Tawi Bora la Mwaka. Washindi wa tuzo hizo watatokana na kura ambazo zitapigwa na mashabiki kupitia mitandao ya kijamii na tovuti ya mosimbaawards.co.tz na kamati maalumu ya tuzo ambayo itahusisha wadau mbalimbali wa mchezo wa mpira wa miguu nchini. Akizungumza kuhusu tuzo hizo, Dewji amesema ameanzisha tuzo hizo kwa lengo la kutambua mchango wa wachezaji, viongozi na mashabiki ambao juhudi zao zimeiwezesha Simba SC kupata mafanikio iliyonayo sasa. Dewji amesema tuzo hizo ni sehemu ya mikakati yake ya kuifanya klabu ya Simba kuwa timu kubwa barani Afrika, ambayo itakuwa na uwezo wa kifedha ambao utaiwezesha kuwa na wachezaji na benchi la ufundi bora ambalo litaiwezesha kushinda mataji makubwa. “Simba ni timu kubwa inastahili kuwa na tuzo zake ambazo zitakuwa zinatolewa kwa kutambua mchango wa wenzetu ambao umetuwezesha kupata mafanikio haya ikiwepo kushinda taji la Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Ni jambo ambalo litawatia moyo kuendelea kujituma lakini hata kwa ambao watakosa itawatia hamasa na hivyo kuongeza juhudi,” amesema Dewji. Hafla ya utoaji wa tuzo hizo itakuwa mbashara kupitia Azam. Imetolewa na; Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Mo Simba 2018

Read More

Mwanajeshi wa Tanzania auawa huko Jamhuri ya Kati Afrika

Askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kati Afrika wanaotokea nchini Tanzania, ameuawa na waasi huku wengine 18 wak...
Read More

Waziri Ndalichako : “Maria na Consolata ni Mashujaa wa Taifa”

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ameongoza waombolezaji  kutoa heshima za mwisho kwa Mapacha walioungana Ma...
Read More

Serikali Yalitaka Baraza la Maaskofu KKKT Kuufuta Waraka wa Pasaka

Serikali  ya Tanzania imelitaka Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Tanzania kufuta waraka lililoutoa ...
Read More

Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako alivyomwaga machozi msiba Maria na Consolata

Miili ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, imeagwa kati...
Read More

Bungeni: Serikali Kujenga Kituo Kikubwa cha Kupoozea Umeme Jimbo la Kibamba

Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) inatarajia kujenga kituo kikubwa cha kupoozea umeme katika Jimbo la Kibamba baada y...
Read More

Bungeni: Serikali Yatangaza Neema ya Ajira kwa Wataalamu Sekta Ya Umwagiliaji

Wizara ya Maji na Umwagiliaji kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji inatarajia kuwaajiri wataalamu wa kutosha katika fani ya umwagiliaji....
Read More

PICHA: Basi lagonga treni...7 Wafariki Dunia

Watu 7 wamefariki dunia na wengine 27 wamejeruhiwa vibaya, baada ya basi la Kampuni ya Hamida kugonga treni ya mizigo mkoani Kigoma. A...
Read More

Maxcom Africa – Maxmalipo Wafafanua Tatizo La Tiketi Kwenye Usafiri Wa Mwendo Kasi Tarehe 3 Na 4 Juni 2018

Read More

RPC Shana: Majambazi Nane Yakamatwa Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani JESHI la polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu nane wanaosadikiwa kuwa majambazi kwa tuhuma za kuhusika na ...
Read More

Waziri Mkuu Atoa Ujumbe Mzito Kwa Wabunge

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wabunge kuonyesha mshikamano na kupendana ili waendeleze jukumu la kuishauri Serikali. Kiongo...
Read More

Rais Magufuli Kuzindua Programu Ya Kuendeleza Sekta Ya Kilimo Awamu Ya Pili (ASDP II)

Na Mathias Canal-WK, Dar es salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi k...
Read More

Operesheni Polisi Yanasa 35, Silaha 5 Mikoa Ya Kusini

Na. Jeshi la Polisi. Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kukamata Silaha mbalimbali na watuhumiwa 35 katika Oparesheni Maalum inayoend...
Read More

Rais Magufuli Awalilia Mapacha Walioungana Maria na Consolata Seebait.com 2018SeeBait

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Masista wa Maria Consolata na...
Read More

Kamati Maalumu Ya Bunge Yaibua Madudu, Mawaziri Watajwa

Kamati iliyoundwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kuchunguza mwenendo wa biashara ya sekta ya gesi asilia nchini imebaini madudu katika se...
Read More