Jack Patrick Akirudi, Vanessa Atakuwa na Nafasi Kwa Jux?

 Nkupamah blog

Super model ambaye yupo gerezani kwa sasa kutokana na ishu ya kukamatwa na madawa ya kulevyia nchini China Jack Patric . 
 
Awali mwana dada huyo aliwahi kuwa na mahusiano yakimapenzi na mwanamuziki wa bongo fleva Juma Jux ,lakini baada ya mwanadada huyo kutupwa garezani kwa miaka kumi ,Jux ameamua kunzisha mahusiano na Vanessa Mdee  huku wakiwa wanaponda raha za  kufa  mtu. .
 
Awali jux alinukuliwa na kituo kimoja cha redio kuwa hatakama mpenzi wake Jack yupo jela ila bado atalilinda penzi lao mpaka akaamua kumtungia nyimbo ‘’Nitasubiri’’ 
 
Je, Jux ameamua kumsaliti Jack nakuwa na Vanessa au kaona soo kuwa na Jack kisa kapatwa na skendo hiyo??? Jack akitoka jela atakuwa ana nanafasi gani kwa jux au Vanessa atapigwa chini ??? 
 
Jack awalii aliwahi kuolewa na  mwanume afahamikaye kwa jina la  Fundikila lakini ndoa yao  ilivunjika kutokana na  mwana dada huyo kumsaliti mumewe kwa Jux hadi kupelekea kila mtu kushika time yake .
 
Je kwa hali ya kawaida Jux ameonyesha kutokuwa mvumilivu nakuvunja ahadi au yupo na Vanessa kwa short time ???
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment