.
Nakusogezea kile kinachoendelea kutoka kwenye kampeni za UKAWA katika viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.
Hapa nina picha za wasanii wakiwemo wa
Bongo Fleva na Bongo Movie waliojitokeza kusikiliza kile
kitakachozunguzwa na viongozi mbalimbali.
Aunt Ezekiel na wasanii wenzake
.
Mwimbaji kutoka Bongo flevani, Timbulo (kulia)
Shamsa Ford. A.T na Chuzi (kulia)
.
Mwigizaji kutoka kwenye tasnia ya filamu, William Mtitu
Mwimbaji wa nyimbo za Dini, Bahati Bukuku.
.
.
.
Kwa mbali namuona mwimbaji wa Bongo Fleva, Bob Junior
Mwigizaji wa Filamu, Jackline Wolper
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment