Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akizungumza na Ballozi mpya wa Tanzania nchini Saud
Arabia, Hemed Mgaza, wakati alipofika kumuaga Ofisini kwake Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2015. Balozi Mgaza anakwenda nchini Saud
Arabia, kuanza kazi rasmi baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais
Jakaya Kikwete. Picha na OMR
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment