BAADHI YA MATUKIO YA PICHA KUTOKA DODOMA BUNGENI LEO

am3
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na Mbunge wa Viti Maaalum (CCM) Munde Tambwe wakizungumza jambo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge hilo leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am2
Wabunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama (kushoto), Nzega Vijijini (CCM) Dkt. Hamis
Kigwangala (katikati) na Sixtus Mapunda wa Mbinga Mjini (CCM) wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge hilo leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am4
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba (kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Busega Raphael Chegeni nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge hilo leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am5
Wabunge wa Viti Maalum (CCM) wakiingia katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma tayari kuanza mkutano wa kwanza wa Bunge hilo leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am6
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM) Andrew Chenge (kushoto) na Mbunge wa Mwanga (CCM) Prof. Jumanne Maghembe wakiiingia wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma tayari kuanza mkutano wa kwanzawa Bunge leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am1
Wabunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amina Mollel (kushoto) na Stella Ikupa Alex (kulia) akiwasalimiana na mmoja wa wabunge baada ya kumalizika kwa kikao cha Bunge. Picha na Hussein Makame.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment