Meneja Mawasiliano ya Umma wa
kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, John Wanyancha
akiongea na waandishi
wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya kuzindua msimu mpya wa mbio
za Kilimanjaro Marathon 2016, ambapo Tigo wametoa zaidi ya shilingi
milioni 200 kwa ajili ya mbio hizo. Hafla hiyo imefanyika leo asubuhi
jijini Dar es Salaam.
Wadhamini wa mbio za Marathon msimu wa 2016 wakiwa katika picha ya pamoja.
Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi msaidizi wa Michezo toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo, Alex Nkenyenge akizungumza na wageni waalikwa pamoja na
wanahabari. Kushoto kwake ni Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya
simu za mkononi ya Tigo, John Wanyancha.
Wadhamini wa mbio za marathon
msimu wa 2016, wakilipua baruti za makaratasi kuashiria kuzinduliwa kwa
udhamini huo jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Wana habari wakiwa katika uchukuaji wa tukio hilo ili kuipasha jamii.
Wadau wa masuala ya riadha pamoja
na wana habari mabalimbali wakifuatilia kwa karibu uzinduzi wa msimu wa
mbio za marathoni za Kilimanjaro msimu wa 2016.
0 comments :
Post a Comment