Facebook yapata faida kubwa

  • Nkupamah Media:30, Januari 2016
Image copyrightGetty
kampuni ya mtandao wa kijamii wa Facebook umetangaza ongezeko kubwa la mapato na faida.miezi mitatu ya mwisho ya mwaka 2015,faida iliongezeka mara mbili zaidi ya dola bilioni moja na nusu ukilinganisha na mwaka 2014 katika kipindi kilekile.
Hisa ziliongezeka kwa saa baada ya kufanya biashara mjini new york na kupata kukidhi matarajio yao.Facebook kwa sasa imevuka kiwango ambacho wachambuzi
wa masuala ya biashara walichokuwa wanakitarajira zaidi ya mara kumi katika kipindi cha miezi mitatu.
Kampuni hii iliyoko Califonia inasema watu wengi walikuwa wanatumia simu zao za mkono ili kuangalia tovuti zao na kupelekea kiwango cha asilimia themanini ya mapato katika sekta ya matangazo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment