HUYU HAPA NDIO MSANII ALIYEANZA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA MIAKA 12

Cocaine

Curtis “50 Cent” Jackson ni msanii mwenye bahati sana ya kuwa hai leo baada ya kuishi maisha ya hatari alipokulia Jamaica Queens New York nchini Marekani.
50 Cent alianza kuuza crack na cocaine akiwa na miaka 12, akiwa anaishi na bibi yake. Mama yake ambaye pia alikuwa muuza cocaine alifariki 50 Cent akiwa na miaka 8.

Kwneye gazeti la New York 50 Cent alielezea “Ukiwa unakuwa bila pesa utakuwa na imani kuwa pesa ndio jibu la kila kitu kwneye maisha, na dawa za kulevya ndio jambo rahili lililoweza kufanyika”.
50 Cent alikamatwa mara kadha kwa kosa hilo ila kosa kubwa alilofanya ni kumuuzia askari aliyejidai anataka kunuua cocaine mwaka 1994, badala ya kwenda jela 50 Cent alikubali kwenda kwenye kampu ya vijana na huko alisoma na kufanya mafunzo mengine.
Baada ya hap ndio aliporudi mtaani na kupigwa risasi mara tisa.
50-cent
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment