Kaimu
Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta akisalimiana na Wananchi
mbalimbali wenye asili ya India wanaoshi Zanzibar waliohudhuria katika
hafla ya kuadhimisha miaaka 67 ya Uhuru wa Jamhuri ya India iliyofanyika
katika Ubalozi huo Migimbani mjini Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wanaioshi Zanzibar wenye asili ya India wakiimba wito wa Taifa la India Picha na Abdallah Omar.
Kaimu
Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta akipandisha Bendera ya India
kuashiria kuifungua sherehe ya Uhuru wa Jamuhuri ya India ya kutimiza
miaka 67 katika Sherehe iliofanyka katika ubalozi huo Migombani
Zanzibar.
Wananchi
waliohudhuria katika hafla hiyo wakisherehekea baada ya kupandishwa
Bendera ya Nchi ya India kuadhimisha miaaka 67 ya Uhuru wa Jamhuri ya
India iliyofanyika katika Ubalozi huo Migimbani mjini Zanzibar.
Kaimu
Balozi Mdogo wa India Govind Sharan Gupta akiwahutubia wananchi
mbalimbali wanaoishi Zanzibar waliohudhuria katika kuadhimisha siku ya
Uhuru wa Jamuhuri ya India kuadhimisha miaka 67 katika ofisi za Balozi
migombani Zanzibar.
Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.
0 comments :
Post a Comment