Soma habari Hii Ujue Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu Kasema Nini Kuhusu Kurudiwa Uchaguzi Mkuu Kwa Maoni Yake'

Nkupamah Media:

Jaji warioba
Akihojiwa na ITV Jaji warioba amesema kurudia Uchaguzi Zanzibar ni hatari na inaweza kupelekea umwagaji wa damu.
Jaji warioba amesema ni vema atafutwe msuluhishi wa katikati na pande zote zirudi mezani.

MyTake: Kama Kada wa CCM amemkataa Jecha, Bado kuna watu wanajitoa ufahamu,muda utawadia..Asiyesikia la mkuu huvujika guu
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment