Simba washindwa kurejea kileleni, walala kwa Toto Africans Dar


Klabu ya Simba  imeshindwa kupanda katika kilele cha Ligi Kuu ya Tanzania Bara  baadaya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Toto Africans.
Hii ni siku moja tu baada ya watani zao wa jadi, Dar es Salaam Young Africans, April 16 Yanga walirejea kileleni baada ya kumaliza michezo yao ya viporo baada ya kuwafunga Wakata miwa wa Mtibwa, Mtibwa Sugat bao 1-0.
Kwa mchezo huo wa leo Simba kulala kwa bao hilo moja huenda ukaanza kufuta ndoto ya ubingwa wa Ligi Kuu ambao wamekuwa wakiukamia kwa muda mrefu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment