Taarifa Kwa Umma Kutoka Kwa Msajili Wa Vyama Vya Siasa

JAMHURIYA MUUNGANO WA TANZANIA

                                                  OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYASIASA


                                     KUH: KUAHIRISHWA KWA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Natumia fursa hii kuwataarifu wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa kuwa, kikao cha Baraza
kilichokuwa kifanyike kesho tarehe 13 Aprili, 2016 kimeahirishwa mpaka tarehe nyingine itakayopangwa.


Kuahirishwa kwa kikao hiki, ni kutokana na sababu muhimu zilizo nje ya uwezo wa waandaji.


Naomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza, kwani naelewa kuwa, wajumbe wengi mlikuwa mmeshapanga ratiba zenu tayari kwa kikao cha kesho huku mkiahirisha shughuli nyingine.

Tarehe nyingine ya kikao itakapopangwa, mtaarifiwa mapema iwezekanavyo.


Jaji Francis S.K.
Mutungi


MSAJILI
WA VYAMA VYA SIASA
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment