mtaalamu wa kilolo kilolo akitoa maelekezo kwa wananchi waliofika banda la Kilolo kupata elimu juu ya zao la mahindi
Wakuu wa idara Kilolo wakiwa katika banda la Kilolo
DC Kilolo Bi Asia akitazama nguo zilizokuwa zikiuzwa kwenye banda la Kilolo toka kwa wajasiliamali wa Ruaha mbuyuni
Mkurugenzi Kilolo Bw Aloyce Kweziakionyesha mbuga iliyopandwa kwenye bustani ya aina yake(P.T)
Mkurugenzi Kilolo Bw , Aloyce Kwezi kushoto akiwa na wataalam wake kwenye banda la Kilolo
Wananchi wakitazama banda la ufugaji
Bw Aloyce Kwezi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa maonyesho hayo kijana Remi Sanga mtaalam wa maua na wengine
, Aloyce Kwezi mkurugenzi Kilolo akitembelea banda la Kilolo
wananchi wakitazama bidhaa mbali mbali katika banda la Kilolo
Mkurugenzi Kilolo na viongozi mbali mbali wakitoka katika banda la Kilolo
Mbunge Mary Mwanjelwa na Dc Asia Abudalah wakiwa katika maonyesho ya nanenane kanda ya nyanda za juu kusini jijini Mbeya
Dc Kilolo Bi Asia na viongozi mbali mbali wakimsubiri waziri mkuu
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dr Rehema Nchimbi na mkuu wa wilaya ya Kilolo Bi Asia Abdalah na mbunge wa Mbeya Mary Mwanjelwa wakiwa katika picha ya pamoja na MC Charlesi Mwakipesile na meneja wa NMB Mbeya
Mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa akifurahia nyama choma ya Mtanga ambae ni mmoja wa wadau wa maendeleo Kilolo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilolo Bw Aloyce Kwezi akiwa na mkuu wa wilaya ya Kilolo Bi Asia Abdalah katika viwanja vya nane nane jijini Mbeya mara baada ya waziri mkuu kumaliza kufunga maonyesho hayo
Diwani wa kata ya Ilula Bw Raymond Francis (Chadema) akifurahia ushirikiano wa viongozi na uzuri wa banda la Kilolo
mkurugenzi Kilolo , Aloyce Kwezi kushoto akipongezana na viongozi wenzake
Wananchi wakitembelea banda la Halmashauri ya Kilolo wakati wa kilele cha maonyesho hayo


0 comments :
Post a Comment