SERIKALI YAONGEZA MUDA WA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA WATUMISHI WA UMMA NCHINI HADI OKTOBA 31, 2016



 3
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) akizungumza na vyombo vya habari kuhusu mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma nchini wakati wa mkutano na vyombo hivyo uliofanyika  mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage wa hazina ndogo. Wa pili kutoka kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza kwa makini.
4
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na vyombo vya habari kuhusu mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma nchini wakati wa mkutano na vyombo hivyo uliofanyika  mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage hazina ndogo. Wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) akimsikiliza kwa makini.
1
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa vyombo vya habari uliofanywa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu  Nchemba (Mb) kuhusu mwenendo wa zoezi linaloendelea la usajili wa Vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa umma,uliofanyika mjijni Dodoma katika Ukumbi wa Kambarage uliopo hazina ndogo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment