.Kutoka
kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) Joel Lauren, Mkuu
wa Masoko na mahusiano wa Benki ya Kcb Tanzania Christina
Manyenye,Meneja Habari na Elimu na Mawasiliano wa TEA, Sylia Lupembe wakiongozwa
na Diawani wa kata ya mwananyamala Songoro Mnyonge wakati walipokuwa
wakiingia kwenye shule ya msingi msisiri Kinondoni jijini Dar es Salaam,
kwa ajili ya kukabidhi msaada wa madawati 100 yaliyotolewa na benki ya
KCB Tanzania. Jumla yashule 10 zimenufaika na msaada wa madawati 100
kila shule.
Mkuu
wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyneye
akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye ofisi ya mwalimu
mkuu wa shule ya msingi msisiri kinondoni jijini
Dar es Salaam kwa ajili yakukabidhi msaada wa madawati 100.Kulia ni
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) Joel Lauren. Jumla yashule 10 zimenufaika na msaada wa madawati 100 kila shule.
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyneye,(katikati )Meneja Habari na Elimu na Mawasiliano
wa TEA, Sylia Lupembe wakimsikiliza kwa makini Mwalimu Mkuu wa shule ya
msingi msisiri Kinondoni jijini Dar es Salaam, Susan Orege(kulia)
wakati alipokuwa akiwaelezea jambo kuhusiana na msaada wa madawati 100
waliyopewa na benki ya KCB Tanzania.
Baadhi
ya walimu wa shule ya msingi Msisiri wakiwa kwenye hafla ya kupokea
msaada wa madawati 100 kutoka Benki ya KCB Tanzania ambapo jumla ya
shule kumi za jijini zimenufaika na msaada huo wa kmadawati 100 kwa ila
shule.
Baadhi
ya wafanyakazi wa benki yaKCB Tanzania wakiwa kwenye hafla hiyo ya
utoaji wa madawati 100. Kwa shule ya msingi msisiri jijini Dar es
Salaam,
Meneja biashara wa benki ya KCB Tanzania(SME) tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam,Benjamini Mgonja akiteta
jambo na wanafunzi wa shule ya msingi msisiri Kinondoni jijini Dar es
Salaam, baada ya kuwakabidhi msaada wa madwati 100 hafla hiyo imefanyika
leo shuleni hapo
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyenye akitoa
hutuba yake wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 100 kwa
shule ya msingi Msisiri iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, Jumla ya madawati 1000 yametolewa msaada na benki hiyo kwa shule kumi kila shule madawati 100.
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyenye , akipongezwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)Joel Laurent mara
baada ya kukabidhi msaada wa madawati 100 kwa shule ya msingi Msisiri
yaKinondoni jijini Dar es Salaam, kati ya 1000 yaliyotolewa kwa shule
kumi za msingi ambapo kila shule imepta msaada wa madaati 100.hafla hiyo
ilig\fanyika jana kwkatika shule ya Msisiri Kinondoni Dar es Salaam
Mkuu
wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christina Manyneye(
kulia) akimkabidhi mwalimu mkuu wa shule ya msisiri Kinondoni jijini Dar es salaam, Susan Orege moja
ya dawati kati ya 100 waliyopewa msaada na benki hiyo wakati wa hafla
fupi iliyofanyika shuleni hapo .Katikati ni MKurugenzi Mkuu wa mamlaka
ya Elimu Tanzania Joel Laurent akishuhudia ,Shule kumi za msingi za jijini zimenufaika na msaada huo wa kila shule kupata madawati 100.

Mkuu wa Masoko na mahusiano wa Benki ya Kcb Tanzania Christina Manyenye (katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)Joel Laurent na Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi msisiri , Susan Orege, wakifurahia jambo huku wakiwa wamekalia moja ya dawati kati
ya 100 yaliyokabidhiwa shuleni hapo na KCB benki . Jumla ya shule kumi
za msingi za jijini zimenufaika na msaada wa madawati 100 kwa kila
shule.
Wanafunzi wa shule ya msingi Msisiri Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakimsalimia kwa furaha Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki
ya KCB Tanzania Christina Manyenye baada ya kuwakabidhi msaada wa
madwati 100 kwa ajili ya sshule hiyo. Shule kumi za jijini zimenufaika namsaada huo kwa kila shule kupata matawati 100.

0 comments :
Post a Comment