
Mawaziri wawili wa zamani Basili Mramba na Daniel Yona waliokuwa wakituhumiwa kwa kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia serikali hasara ya shilingi 11.7bilioni kutokana na kutoa msamaha wa kodi kwa kampuni iliyopata zabuni ya ukaguzi wa madini ya dhahabu nchini ya M/S Alex stewart.
Leo wamekutwa na hatia katika kesi iliyokuwa ikiwakabili kwa muda mrefu sasa na kuhukumiwa kwenda
jela kila mmoja kwa muda wa miaka mitatu.
Wakati huo huo aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha na Uchumi Aggrey Mgonja ameaachiwa huru baada ya mahakama kumkuta hana hatia.
Habari kamili inaandaliwa Kaa tayari
Imeandikwa na Nkupamah blog
0 comments :
Post a Comment