Mwenyekiti wa NGOs ya Go For Zanzibar Antje Fleischer na Meneja Mradi Mussa Khamis Baucha
, wakimkabidhi msaada Mwakilishi wa
Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee
Kombo Shein, vyakula kwa ajili ya wazee hao ili kuweza kujimuika na Wananchi
katika kusherehekea Sikukuu ya Krismax
na mwaka mpya kulia Msimamizi wa
Kijiji hicho Sister Mary Gemma na Hassan Khamis hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya wazee
hao welezo jana
, wakimkabidhi msaada Mwakilishi wa
Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee
Kombo Shein, vyakula kwa ajili ya wazee hao ili kuweza kujimuika na Wananchi
katika kusherehekea Sikukuu ya Krismax
na mwaka mpya kulia Msimamizi wa
Kijiji hicho Sister Mary Gemma na Hassan Khamis hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya wazee
hao welezo jana
Mwenyekiti wa NGOs ya Go For Zanzibar Antje Fleischer na Meneja Mradi Mussa Khamis Baucha
, wakimkabidhi msaada Mwakilishi wa
Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee
Kombo Shein, vyakula kwa ajili ya wazee hao ili kuweza kujimuika na Wananchi
katika kusherehekea Sikukuu ya Krismax
na mwaka mpya kulia Msimamizi wa
Kijiji hicho Sister Mary Gemma hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya wazee
hao welezo jana
, wakimkabidhi msaada Mwakilishi wa
Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar Mzee
Kombo Shein, vyakula kwa ajili ya wazee hao ili kuweza kujimuika na Wananchi
katika kusherehekea Sikukuu ya Krismax
na mwaka mpya kulia Msimamizi wa
Kijiji hicho Sister Mary Gemma hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya wazee
hao welezo jana
Mwakilishi
wa Wazee Welezo Mzee Shein, akimshukuru Mwenyekiti wa NGOs ya Go For
Zanzibar Antje Fleische, kwa msaada wao na kumtaka kuwa Balozi wao huko
Nje kuwawakilishi ili kuweza kupata misaada zaidi hasa gari kwa ajili ya
kutembelea sehemu mbalimbali wakati wa sikukuu na kutumika kwa shughuli
zao za kawaidi.
Mzee Shein akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhiwa Vyakula kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Krismax na Mwaka Mpya
Sister
Mary Gemma akitowa shukrani kwa Ngo’s GOZA kwa msaada wao kwa kuwajali
Wazee hasa kwa wakati huu wa kusherehekea Sikukuu ya Krismax na Mwaka
Mpya.
German
help organization GOZA is celebrating Christmas 6 degrees south in
Zanzibar together with the old people (Wazee) in Welezo Old Age Home
Since five years now the German help organization GO FOR ZANZIBAR (GOZA) NGO is supporting the Welezo Old Age Home.
Different charity offers have been done since the cooperation with the old age home in Welezo started in 2010.
The main offers in the last years were:
Renovation of two wards and improvement of the sanitary facilities
Establishing a regular medical support for the old people
Support of food, medecine, clothes, wheel chairs
Workshops in basic nursing for the nurse assistance
The donation amount in the last five years covers a budget of round 22,000,000 TSH (10,000 Euro).
A
main goal for the German help organization is the knowledge transfer to
the medical staff of the old age home. Therefore very experienced
nurses from Germany traveled to Zanzibar and hold several workshops in
basic nursing as well as mobilization of old people.
In January 2016 the next workshops will take place. The manager nurse Renate Conrad from Tuebingen will teach in Welezo.
Antje
Fleischer, Director of GOZA NGO:“We are very thankful for the good
cooperation with the nurses in Welezo as well as with the government of
Zanzibar and cooperation partners like ZOP (Zanzibar Outreach Program).
Without the help of the local partners it would not be possible for us
to do a sustainable work here in Zanzibar.“
Mussa
Baucha, project manager of GOZA NGO:“As I am a Zanzibari I am very
proud to be able to work for my own people in such a professional way
together with my co-workers and board members of our organization GOZA.“
Fact sheet:
Foundet in May 2010 in Tuebingen/Germany from Antje Fleischer and Mario Mueller
GOZA NGO is registered as a charitable association by German law
Each donation will be forwarded directly and without full deduction to 100 percent of the projects in Zanzibar
Projects and goals:
Support for (HIV)-orphans
Support for kindergartens and schools
Amelioration of living conditions especially for elderly, destitute people
Amelioration of medical/health care
Germany
help@goforzanzibar.org
0 comments :
Post a Comment