Mwanahabari mkongwe Saed Kubenea (pichani) achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge kupitia Chadema jimbo la Ubungo.
Saed
Kubenea ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Hali Halisi Publishers
Ltd., inayochapisha magazeti ya MwanaHALISI; MSETO; MwanaHALISI Online
na MwanaHALISI Forum na ndiye mmiliki wa kampuni hiyo.


0 comments :
Post a Comment