Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifanyiwa mahojiano siku ya Jumatatu
July 27, 2015 ndani ya studio ya Kilimanjaro Beltsville, Maryland na
mtangazaji wa mahiri wa Radio Mubelwa Bandio katika kipindi chake cha
Jukwaa Langu kinachorushwa Live kila siku ya Jumatatu kuanzia saa
12jioni mpaka saa 2 usiku.
Mtangazaji mahiri Mubelwa Bandio akipata picha ya kumbu kumbu na
Mhe. Balozi Amina Salum Ali ambaye alishika namba mbili katika
kinyang'anyiro cha kubeba bendera ya CCM katika kiti cha Urais.
Rose Chitalah mtangazaji wa Radio wa siku nyingi, Radio One, Times
FM akipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Amina Salum Ali ndani ya
studio ya Kilimanjaro.
Balozi Amina Salum Ali na mwanae katika picha ndani ya Studio ya Kilimanjaro.
Watangazaji wakipata picha ya upendeleo


0 comments :
Post a Comment