Dr Nofali akizungumza na Ujumbe wa Madaktari kutoka Washington
Diaspora walipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kutoa huduma ya
Maradhi ya Saratani ya Matiti, Kisukari na Tiba ya Meno ukiwa na Ujumbe
wa Watu 17, Wamefika Ofisi hapo kujitambulisha kwa Uongozi wa hospital
Dr Nofali akizungumza na Madaktari hao walipofika Ofisini
kujitambulisha wakiwa na wenyeji wao Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa
wa Diaspora Zanzibar Ukiongozwa na Mkurugezi wa Idara hiyo Ndg Adila
Ujumbe wa Madaktari Madiaspora wakimsikiliza Dr Nofali walipofikac
Ofisini kwakwe kujitambulisha na kwa ajili ya kutoa huduma kwa Wagonjwa
waliofika hospitalini hapo kupata tiba.
Kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania Washington Diaspora Asha Nyanyanyi
akiztowa maelezo ya Ujumbe huo kwa Dr Nofali wakati walipofika Ofisini
kwake Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja leo asubuhi kwa kutoa huduma za Meno
Kisukari kutoa dawa kwa wagomjwa na kutowa elimu ya Saratati ya Matiti
kwa Wanawake Zanzibar na kupima
0 comments :
Post a Comment