NIKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA MGOMBEA ATAKAYEPITISHWA NA CCM- MUSTAFA PANJU

SAM_4244Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya ungalimited jijini Arusha ili kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwamgombea wa ubunge jimbo la Arusha kupitia CCM ambapo aliwataka wananchi hao kuchagua kiongozi sahihi wakuweza kuleta mabadiliko katika jimbo la Arusha pia alisema yupo tayari kushirikiana na mgombea atakayepitishwa na chama hicho endapo chama hicho hakitamteua kuwa mgombea Ubunge jimbo la Arusha mjini.
Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog
SAM_4224Katibu wa CCM wilaya ya Arusha, Ferooz Bano ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi akitoa maelekezo kwa wananchi wa kata ya Ungalimited namna ya kuwasikiliza wagombea ambapo aliwataka wasipige makofi wala kushangilia wakati wagombea hao wakijinadi kwa sera zao
SAM_4225Wagombea 12 ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi wakiwa katika kata ya Ungalimited mtaa wa Esso
SAM_4227Taswira mama akiwa amembeba mwanae akiwa anavuka barabara wakati mkutano wa kujinadi wagombea wa chama cha mapinduzi ukiwa unaendelea katika kata ya Ungalimited mtaa wa Esso jijini hapa
SAM_4228Kulia ni Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akifwatilia sera za wagombea Ubunge mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya ungalimited jijini Arusha.
SAM_4233Wanachama na wananchi waliojitokeza kuwasikiliza watia nia nafasi ya Ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM
SAM_4234Sehemu ya akinamama wakereketwa wa chama cha mapinduzi.
SAM_4275Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya ungalimited jijini Arusha ili kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwamgombea wa ubunge jimbo la Arusha kupitia CCM ambapo aliwataka wananchi hao kukipenda chama huku akiomba ridhaa ya kuwatumikia endapo atapita katika kura ya maoni
SAM_4344Mwanadada mlemavu akiwa anasikiliza kwa umakini sera za wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi CCM katika kata ya Sekei uwanja wa Tax sanawari.
SAM_4360Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akiwa anasikiliza sera za wagombea wenzake katika kata ya sekei jijini Arusha ambapo alisema kuwa endapo chama hicho hakitampitisha yupo tayari kushirikiana na atakayepitishwa na chama hicho.
SAM_4361Taswira picha mbalimbali za wagombea ubunge CCM zikipamba ukuta katika eneo la sanawari
SAM_4436
Mkusanyiko mkubwa wa watu wakitawanyika baada ya mkutano wa wagombea ubunge kuisha katika kata ya kaloleni jijini Arusha.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment