SIMUTV:Rais
Kikwete apokea joho na cheti cha shahada ya heshima ya udaktari wa
falsafa hii leo kutoka Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam. http://youtu.be/jFVHtSkPzNw
SIMUTV:Mvutano
mkali wazuka baina ya wagombea ubunge wa CCM mkoani Singida kufuatia
gharama kubwa za fomu ambazo ni shilingi milioni 3. http://youtu.be/3Fh-njsFCms
SIMUTV:Nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki iko katika mchakato wa kuweka viwango vya ubora wa mazao ya kilimo cha bustani.http://youtu.be/WL4i13KR8S0
SIMUTV:Makampuni
makubwa ya ndani yaombwa kuyasaidia makundi maalum ili yaweze
kujiendeleza badala ya kutegemea misaada kutoka nje. http://youtu.be/HKUPVO5QXKI
SIMUTV:Makampuni
makubwa ya ndani yaombwa kuyasaidia makundi maalum ili yaweze
kujiendeleza badala ya kutegemea misaada kutoka nje. http://youtu.be/HKUPVO5QXKI
SIMUTV:Nchi
za jumuiya ya Afrika Mashariki iko katika mchakato wa kuweka viwango
vya ubora wa mazao ya kilimo cha bustani ukiwa ni mkakati wa kulinda
walaji na soko la nchi wanachama. http://youtu.be/WL4i13KR8S0
SIMUTV:Tafurani
yazuka mkoani Geita baada ya balozi wa nyumba kumi kudaiwa kuchukua
taarifa muhimu za vitambulisho vya wapiga kura wa eneo lake. http://youtu.be/fJWhDme3bcc
SIMUTV:Baraza la biashara kufunguliwa mkoa wa Kigoma wilaya ya Kibondo ili kutoa fursa za biashara kwa wekezaji.http://youtu.be/fh1bE_Ys9xI
SIMUTV:Serikali
imezitaka Taasisi za kifedha pamoja na benki kusaidia jitihada za
kutatua changamoto ya makazi inayoikabili Tanzania. http://youtu.be/7H0koBBad7k
SIMUTV:Benki
ya CRDB na kampuni ya Maxcom Africa waingia mkataba wa makubaliano
ambao utawezesha kampuni hiyo kutoa huduma za kibenki. http://youtu.be/RWwM9NLGseg
SIMUTV:MBunge
wa CHADEMA Mh.Tundulisu, asema UKAWA imekwisha mpata mgombea uraisi
huku akibainisha kazi iliyobaki ni kupata mgombea mwenza. http://youtu.be/ivMMxIuuDHI
SIMUTV:Ripoti
yaeleza kwamba takribani watoto laki 4 kote nchini wanaugua ugonjwa wa
saratani huku wakikabiliwa na changamoto ya kupata matibabu. https://youtu.be/ivMMxIuuDHI
SIMUTV:Ripoti
yabaini ongezeko la usugu wa bacteria anayesababisha homa ya mapafu
ambaye ndiye chanzo kinachoongoza kusababisha vifo vya watoto chini ya
miaka 5. http://youtu.be/5H348F0G1-Q
SIMUTV:Benki
ya wananchi ya Mufindi MUCOBA yatarajia kuzindua mauzo ya hisa zake
katika soko la awali la hisa mwishoni mwa mwezi huu. http://youtu.be/YqSXSOo8hTs
SIMUTV:Shirika la ndege la Fast Jet latarajia kuzindua safari mpya za ndegekuelekea nchini Malawi kuanzia tarehe 27 mwezi huu.http://youtu.be/JJhHaePZ_SE
SIMUTV:Mswada
wa sheria ya gesi wa mwaka 2015 uliopitishwa na bunge hivi karibuni
mjini Dodoma wapongezwa kwa kutoa mwanga wa rasilimali hiyo. http://youtu.be/wRtxG_8RrA8
SIMUTV:Rais
Kikwete apokea joho na cheti cha shahada ya heshima ya udaktari wa
falsafa hii leo kutoka Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam. http://youtu.be/jFVHtSkPzNw
SIMUTV:Wananchi
wa kijiji cha Bokwa mkoani Tanga watoa ombi kwa Rais Kikwete
kuwatatulia mgogoro wa mpaka kabla ya kumaliza mda wake. http://youtu.be/TInAQNQ_Kzw
SIMUTV:Mahakama
kuu mkoani Mara imewatia hatiani watu watatu kunyongwa hadi kufa kwa
kosa la kumuua Bi.Tabu Makanya kwa makusudi. http://youtu.be/uG_a6isOKLc


0 comments :
Post a Comment