SIMUTV:Mzozo
waibuka wakati wa utiaji saini maadili ya uchaguzi Zanzibar kwa kile
kilichodaiwa ni kukosekana kwa uwakilishi wa CCM na Polisi. http://youtu.be/NafxG0hfLig
SIMUTV:Katika
hali ya kushangaza mtu mmoja aliyetuhumiwa kwa wizi apanda ghorofani na
kutishia kujirusha chini akipinga tuhuma juu yake. http://youtu.be/5IqqavGIr8I
SIMUTV:Utafiti
wa shirika la TWAWEZA labaini kuwa licha ya Tanzania kutegemea kilimo,
ni asilimia 2 pekee ya watanzania ambao wangependa watoto wao wafanye
kilimo. http://youtu.be/pkV2-Ygn2OI
SIMUTV:Kituo
cha sheria na haki za bindamu kimelaani tukio la kuvamiwa vituo vya
polisi na uuaji wa polisi unaoendelea hapa nchini. http://youtu.be/cwC8_VzQJzc
SIMUTV:Vijana
30 wanaojiita timu Lowassa warudisha kazi za CCM na kujiunga na CHADEMA
kwa madai ya kutoridhishwa na maamuzi ya CCM. http://youtu.be/XcG0TlU6ECA
SIMUTV:Ubovu wa miundombinu na nyumba za NHC waelezwa kuwa kero kwa wapangaji na wapiti njia hivyo kuhatarisha afya zao. http://youtu.be/syMcsg8eqzA
SIMUTV:Jeshi la polisi mkoani Arusha linawashikilia watu 2 kwa tuhuma za kuvuruga zoezi la uandikishaji wapiga kura kupitia BVR.http://youtu.be/JuSxp6ZisLA
SIMUTV:Shughuli za za kibinadamu zinazofanywa na watu wasio julikana zimeanza kuhujumu mkongo wa Taifa wa mawasiliano.http://youtu.be/RKJ6HdkFF-0
SIMUTV:Serikali kupitia wizara ya ardhi yakabidhi hati za kimila kwa wananchi wa kijiji cha IlalaSimba mkoani Iringa.http://youtu.be/CrM5WB0Eo0k
SIMUTV:Mgombea
uraisi kupitia CCM Dr. Magufuli atambulishwa visiwani Zanzibar huku
akihaidi kushirikiana na vyama vyote vya siasa. http://youtu.be/deERuJg1iY4
SIMUTV:Raisi
Jakaya Kikwete aongoza vikao vya mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko
na kutoa ripoti kadhaa ya jopo analo liongozahttp://youtu.be/ XdPdlZzJxSo
SIMUTV:Madereva
wa Malori,Mabasi na Dalala watishia kugoma endapo kamati iliyoundwa
kutetea maslahi yao haitatoa majibu ya haraka kuhusu kuanza kutumika
kwa mkataba wao.http://youtu.be/ uD5FrSUiR00
SIMUTV:Mgombea
uraisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dr. John
Magufuli atua Zanzibar kwa kishindo huku akipata mapokezi ya hali ya juu
na kuahidi kudumisha umoja http://youtu.be/lpzgK39dzUE
SIMUTV:Wananchi
nchini waaswa kutumia vifaa maalumu vya kulinda magari ili kupunguza
wimbi la wizi wa magari linaloendelea hapa nchini. http://youtu.be/y6bbVVe93B4
SIMUTV:Wananchi
nchini waaswa kutumia vifaa maalumu vya kulinda magari ili kupunguza
wimbi la wizi wa magari linaloendelea hapa nchini.https://youtu.be/ y6bbVVe93B4
SIMUTV:Kampuni
ya Vodacom yakabithi msaada wa vifaa vya tiba kwa hospitali 3 za rufaa
jijini Dar es salaam kwa ajili ya matibabu ya watoto njiti nchini.https://youtu.be/_ zZPIqNhavc
0 comments :
Post a Comment