Kabula
Kalamu wa eneo la Lalanayo wilayani Mlele akitoka bombani kuteka maji
huku akiwa amembeba mgogongoni mwanae Masunga Mayunga Jula 17, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amekalia oja ya madwati mapya ya plastiki
yaliyowekwa kwenye moja ya madara ya shuley amsingi ya Kakuni wilayni
Mlele akiwa katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni Julai 16,
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)(VICTOR)
Wanawake wa Kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele wakielekea majumbani baada ya shughuli zao mbalimbali Julai 16, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya
msingi ya Kakuni wilayani Mlele Julai 16, 2015. (Picha na ofisi ya
Waziri Mkuu)
0 comments :
Post a Comment