
Watu
wanne wamefariki dunia na wengine kumi na mmoja kujeruhiwa,watatu kati
yao hali zao ni mbaya na kulazimika kukimbizwa katika hospitali ya KCMC
kufuatia ajali iliyohusisha magari ya FUSO na HIACE katika daraja la Mto
Kikavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.

Fuso likiwa limeharibika vibaya kutokana na ajali hiyo

Magari yakiwa kwenye foleni baada ya kutokea kwa ajali hiyo
0 comments :
Post a Comment