Nkupamah media:
| Mabondia Fransic Cheka kulia akitunishiana misuli na Mserbia Geard Ajetov baada ya kumia uzito kwa ajili ya mpambano wao kulia ni mdau wa mchezo wa ngumi Nassoro Rashidi na meneja wake cheka, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Fransic Cheka kulia akitunishiana misuli na Mserbia Geard Ajetov baada ya kumia uzito kwa ajili ya mpambano wao kulia ni mdau wa mchezo wa ngumi Nassoro Rashidi na
meneja wake cheka, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security
picha na SUPER D BOXING NEWS
meneja wake cheka, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security
picha na SUPER D BOXING NEWS
…………………………………………………………………………………………………………………
NA MWANDISHI wetu
MABONDI francis Cheka na Geard Ajetovic wamepima uzito kwa ajili yapambano lao la mabara la uzito wa super middle la Shirikisho la Masumbwi ya Kulipwa Duniani (WBF) ambapo waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, atawaongoza Watanzania kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, kushuhudia pambano la ubingwa wa Mabara wa WBF Intercontinental kati ya Franciss Cheka na Geard Ajetovic.

Cheka anamkaribisha Ajetovic, Mwingereza mwenye asili ya Serbia, katika pambano hilo la raundi 12 uzito wa Super Middle, linalotazamwa kama marudiano ya mtifuano baina ya wawili hao waliowahi kuchapana jijini Manchester, Uingereza mwaka 2008. na Cheka kupoteza mpambano huo kwa point Wawili hao wametambiana vya kutosha, kila mmoja akijinasibu kuwa yu tayari kumuadabisha mwenzake, Cheka akienda mbali zaidi kwa kusema hatarajii kuwaangusha Watanzania, hususani anapopigana katika ardhi ya nyumbani.
Pambano hilo limeratibiwa na Kampuni za Advance Security kwa kushirikiana na Hall of Fame Boxing and Promotions zote za Dar es Salaam, ambalo litatanguliwa na mapambano mengine manne, ikiwamo burudani ya muziki kutoka kwa Bendi ya Twanga Pepeta. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa upimaji uzito, Mkurugenzi wa Advance Security, Juma Ndambile, alisema maandalizi yote ya pambano hilo yamekamilika na kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kumsapoti Cheka.
Ndambile, alisema viingilio vimegawanyika makundi mawili, ambako kiingilio cha juu kitakuwa ni Sh. 50,000 kwa Jukwaa la VIP, wakati cha chini ni Sh. 15,000 kwa viti vya kawaida. Aliyataja mapambano ya utangulizi kuwa kati ya Mohammed Matumla dhidi ya Mustapha Dotto (uzito wa Light raundi nane), Mohammed Bakari na Cosmas Cheka (Feather raundi nane) na lile la Lulu Kayage dhidi ya Mwanne Haji (Fly Raundi sita)a ajili ya
mpambano wake
mpambano wake

0 comments :
Post a Comment