Ajali Mbaya ya Noah Yaua Watu 8 Jijini Mwanza

Thursday, August 20, 2015

 @nkupamah blog

Watu nane wafariki dunia na wengine wane kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Noah iliyokua ikitokea shinyanga kuelekea mwanza.

Ajali  hiyo  imetokea  jana  jioni  Wilayani  Misungwi  Mkoani  Mwanza  ambapo  mashuhuda  wa  ajali  hiyo  wamedai  chanzo  chake  ni  mwendo  kasi  wa  Dereva  uliomfanya  ashindwe  kuimudu  gari  wakati  akikwepana  na  lori.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment