BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA UKONGA,WANANCHI WAMPONGEZA JERRY SILAA NYUMBANI KWAKE

.

 Wananchi wa Jimbo la Ukonga wamempongeza nyumbani kwake mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea,Jerry Silaa.
Silaa aliibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October 25.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment