Kupitia Ukurasa wa Intagram wa Lazaaro Nyalandu Amekunusha Taarifa ya uongo inayozambaa kwa kasi mtandaoni kwa kuandika ujumbe huu”Habari hii hapa Chini ni ya KUTUNGWA na ni UZUSHI! Sijawahi kuwa kwenye GROUP hili la kutunga wanaloliripoti.
SIASA za kuzushiana Mambo sio za kistaarabu na ni za kizamani. Aibu! #WAONGO wote sehemu yao ni katika ZIWA liwakalo MOTO na kiberiti. Tuwapuuze!”ISOME TAARIFA HIYO YA KUZUSHA HAPO CHINI
tAARIFA ya uzushi kuhusu nyalandu