Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Balozi wa
Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi,([Picha
na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa
Msumbiji nchini Tanzania Mhe,Vicente Mebunia Veloso alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi,([Picha
na Ikulu.]

0 comments :
Post a Comment