Mchoro
wa Majengo ya hospitali Mpya ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba likiwa
katika ujenzi wake kisiwani Pemba likiwa karibu asilimia 75 liko tayari
na ujenzi wake.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Xie Yunliang,
alipowasili katika viwanja vya hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani kwa
ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali, Mohamed Shein,
akisalimiana na Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr. Xu Zhuogun
alipowasili katika viwanja vya ujenzi wa Hospitali Mpya ya Abdalla Mzee
Mkoani jana kwa kuweka jiwe la Msingi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar alipowasili
katika viwanja vya ujenzi wa hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani jana.
Rais
wa Zanzibar akisalimiana na Madaktari wa Kichina katika viwanja vya
ujenzi wa jengo jipya la hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Mkalimali wa Kampuni ya Ujenzi ya Kichina Zhang
Dov.inayojenga hospitali hiyo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la jengo jipya la
Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani jana.
Kwa hisani ya ZanziNews
0 comments :
Post a Comment