Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akimsalimia na kumpa pole Bw. Massoud Matta aliyepoteza familia yake ya
watu tisa akiwemo mkewe na watoto wake wanne kutokana na ajali ya moto
iliyotokea Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akimsalimia na mmoja wa wanafamilia ya Bw. Massoud Matta aliyepoteza
familia yake ya watu tisa akiwemo mkewe na watoto wake wanne kutokana na
ajali ya moto iliyotokea Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiitikia
dua baada ya kumfariji e Bw. Massoud Matta (wa pili kushoto) aliyepoteza
familia yake ya watu tisa akiwemo mkewe na watoto wake wanne kutokana
na ajali ya moto iliyotokea Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitoa nasaha kwa wanafamilia hao.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akiwapungia mkono wananchi, katika eneo la Buguruni Mapipa, baada ya
kumfariji Bw. Massoud Matta aliyepoteza familia yake ya watu tisa
akiwemo mkewe na watoto wake wanne kutokana na ajali ya moto iliyotokea
Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
Nyumba
ya Bw. Massoud Matta iliyoungua moto na kusababisha vifo vya watu tisa
wa familia moja katika eneo la Buguruni Malapa Dar es Salaam. (Picha na
Salmin Said, OMKR)
0 comments :
Post a Comment