| Balozi Mulamula akiendelea kuzungumza. |
| Sehemu ya Wageni walioudhuria hafla hiyo wakimsikiliza Balozi Mulamula (hayupo pichani). |
| Balozi Antila akiendelea Kuzungumza |
| Balozi Mulamula na Balozi Antila wakitakiana afya njema kwa kugonganisha Glasi |
| Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Mambo ya Nje Bi. Mindi Kasiga ambaye alikuwa mshereheshaji wakati wa hafla hiyo akizungumza. |
| Balozi Mulamula akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlango wa Zenji Balozi Antila. |
| Wageni waliohudhuria Hafla hiyo wakifurahia kwa kupiga makofi wakati Balozi Mulamula akimkabidhi Balozi Antila zawadi ya picha (Hawapo pichani). |
| Balozi Mulamula (Wa pili kulia), Balozi Mpango (Wa kwanza kushoto), Balozi Antila (Wa pili kutoka kushoto), na Balozi Sokoine wakiwa katika picha ya pamoja. |
| Balozi Mulamula na Balozi Antila wakiwa katika Picha ya Pamoja na wageni walioudhuria hafla hiyo.Picha na Reginald Philip |


0 comments :
Post a Comment