Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi
Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi Irene Florence
Mkwama alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais leo.
[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mteule
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi Irene Florence Mkwama
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa
Jamhuri ya watu wa Algeria Belabed Saad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kujitambulisha rasmi kwa Rais leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa
Jamhuri ya watu wa Algeria Belabed Saad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kujitambulisha rasmi kwa Rais leo.
0 comments :
Post a Comment