MANENO YA SUMAYE WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI YA UKAWA JANGWANI

Kwa maneno haya nimefarijika sana na ni kweli nimeamini ukitaka upate heshima duniani simamia ukweli  daima Mungu mbariki kiongozi huyu mwenye kusimamia ukweli na si upotoshaji.
Soma maneno yake aliyoyasema hapa chini:-

FREDRICK SUMAYE-'Kama kipimo cha Maadili ni KINANA mimi nitakuwa mtakatifu,CCM wamejifunika ngozi ya vyama vingi'
 FREDRICK SUMAYE-'Wanawajaza Watanzania uoga wa usilolijua, eti mkiwapa Wapinzani nchi itaingia kwenye vita'
 FREDRICK SUMAYE-'Nimekuja kwa sababu nataka nisaidiane na UKAWA, kubwa zaidi kwa ajili ya WaTZ ili kuleta mabadiliko
 FREDRICK SUMAYE- Ni LOWASSA huyu huyu aliyemwingiza KIKWETE madarakani, ila sasa hivi wanasema eti hafai
FREDRICK SUMAYE- KIKWETE alimpa Uwaziri Mkuu LOWASSA lakini sasa anaonekana fisadi, hivi fisadi angekuwa hivi

 FREDRICK SUMAYE-'Ana miaka nane mpaka sasa tangu aachie madaraka, ivi EPA walivyosamehe mabilioni, LOWASSA alikuwepo?
 FREDRICK SUMAYE- Leo wajenzi wa barabara wanaidai Serikali trilioni 1.4 kati ya hizo bil. 900 Serikali imepigwa faini
 FREDRICK SUMAYE-'Wanasema ndugu yetu mgonjwa, nataka niwaulize, kwani MAGUFULI mzima? anaendaga kufanya nini Ulaya?

 FREDRICK SUMAYE-'Wanasema ndugu yetu mgonjwa, nataka niwaulize, kwani MAGUFULI mzima? anaendaga kufanya nini Ulaya?
 FREDRICK SUMAYE- Mkapa hajawahi kwenda kutibiwa nje? Kwani JK akiwa madarakani hakwenda kwenye upasuaji wa tezi dume?
FREDRICK SUMAYE-Nitahakikisha ninashirikiana na nyinyi kuhakikisha CCM wanakaa benchi na kutuachia nchi yetu


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment