Mkurugenzi wa Bima za Maisha
Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka kulia na
Elisante Maleko Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja kushoto
pamoja na maofisa wengine wa shirika hilo wakiwa wakiwa na baadhi ya
wateja waliojipatia bima ya maisha ya elimu ya katika banda lao kwenye
maonyesho ya Nanenane yanayoendelea mkoani Lindi shirika hilo
linashiriki katika maonyesho hayo.
Mkurugenzi wa Bima za Maisha
Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Rose Lawa wa pili kutoka kulia na
Elisante Maleko Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja wa tatu
kutoka kulia pamoja na maofisa wengine wa shirika hilo wakionekana
kufurahia jambo pamoja na wateja waliotembelea na kujiunga na bima ya
maisha ya elimu katika banda lao
Muonekana wa banda la Shirika la
Bima ya taifa NIC linavyoonekana shirika hilo linashiriki maonyesho ya
nanenane yanayoendelea mkoani Lindi


0 comments :
Post a Comment