Eric Omondi alivyovunja mbavu za mashabiki kwenye onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015


Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya akifanya manjonjo yake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015 lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam
Mshairi Neema Komba, kutoka La poetista akifannya ushairi wake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam
Grace Matata, akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam
Eric Omondi akiimba wimbo wake wa Nabeba Mawe
Mchekeshaji Eric Omondi akivunja mbavu za mashabiki waliohudhuria onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam

DJ Gregg Mwendwa wa Santuri Safari kutoka Kenya akicheza 'ngoma' wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam
Hawa ni mashabiki, uzalendo umewashinda wakajitupa jukwaani kucheza
Mwanamuziki Leo Mkanyia akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam

Watu walicheeeeeka mpaka basi, usicheze na Omondi
Wanamuziki wa Sarabi Band kutoka Kenya wakitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam

Hakuna mchezo Sarabi band wakiwa kazini

Mashabiki wakicheza muziki wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam
Watu walikuja kwa wingi kushuhudia show ya East Africa Vibes Concert lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam. Picha zote na Pamoja Blog
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment