Watanzania na marafiki zao wakijumuika kwenye nyama choma kabla ya
mechi ya Simba na Yanga iliyochezewa Hyattsville, MD siku ya Jumamosi
Aug 29, 2015 na Simba kukubali kipigo cha boa 5-2 na kuendelea kuwa
wateja Yanga DMV. Timu hizi uundwa na mashabiki wa Simba na Yanga
wanaoishi DMV.
Nyama choma ikiendelea
Timu ya Simba DMV
Timu ya Yanga DMV
0 comments :
Post a Comment