Wananchi wakiwa eneo la tukio Buguruni Malapa Jijini Dar.
Muonekano wa nyumba hiyo baada kuteketea na moto Buguruni Malapa Manispaa ya Ilala Jijini Dar.
NYUMBA moja iliyoko maeneo ya Buguruni Malapa Manispaa ya Ilala
Jijini Dar es salaam, imeteketea kwa moto na kusababisha vifo vya watu
tisa. Mashuhuda wa Tukio hilo wamesema chanzo cha moto huo
hakijajulikana, na mpaka sasa tayari miili mitano imeshatolewa. GPL
0 comments :
Post a Comment