Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha
mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia),
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es
Salaam leo asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa
kuelekea uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu utakaofanyika
Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha hilo. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa Tamasha la Krismas na Pasaka, Alex Msama.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
0 comments :
Post a Comment