Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya
Habari Tanzania ambae pia ni Mkurugenzi wa Internews Tanzania Valerie N.
Msoka akifafanua kitu kwa wandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa
mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya kuripoti uchaguzi Mkuu.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Mkurugenzi wa Shirika la Internews
kanda ya Afrika Ian Noble akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari juu
ya kuripoti habari za Uchaguzi, alipotembelea katika mafunzo hayo huko
ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Weles Mjini Zanzibar.
Afisa Mwandamizi Baraza la Habari
Tanzania Ofisi ya Zanzibar Shifaa Said Hassan (aliesimama)akifahamisha
kitu katika mafunzo ya siku tano yalimaliza jana Agosti
28 yaliyoandaliwa na Shirika la Habari la Marekani Internews kwa
waandishi wa Habari wa Zanzibar katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye
Ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo
Zanzibar.
Badhi ya waandishi wa habari
walioshiriki mafunzo juu ya kuripoti Habari za Uchaguzi Mkuu
wakisikiliza nasaha zilizotolewa na Mkurugenzi wa Internews Tanzania
Valerie N. Msoka (hayupo pichani) katika mfunzo yaliofanyika Ukumbi wa
Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Shirika la Internews
kanda ya Afrika Ian Noble (wakatikati) katika picha ya pamoja na
washiriki na wasimamizi wa mafunzo hayo (kulia) aliekaa ni Afisa
Mwandamizi Baraza la Habari Tanzania Ofisi ya Zanzibar Shifaa Said
Hassan na kushoto ni Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari
Zanzibar Salim Said Salim.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
0 comments :
Post a Comment