Watanzania California wakiongozwa na
Balozi wa Heshima Mhe. Ahmed Issa walijumuika pamoja siku ya Ijumaa na
kumuaga Balozi Liberata Mulamula anayemaliza muda wake kama Balozi wa
Tanzania nchini Marekani na Mexico na kurudi nyumbani kwenda kulitumikia
taifa kama Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa.
Watanzania wa California wakipiga
picha ya pamoja na Mhe. Balozi Libarata Mulamula (wapili toka kushoto)
siku ya Ijumaa July 31, 2015 walipomuaga rasmi.
Balozi Liberata Mulamula akimkabidhi
zawadi yake Afisa Ubalozi Swahiba Mdeme mara tu baada ya kukabidhiwa na
Watanzania California siku ya Ijumaa July 31, 2015 walipomualika rasmi
kwa ajili ya kumuaga.
Balozi Liberata Mulamula akicheza na kuburudika kwenye moja ya nyimbo zilizopigwa kwenye tafrija hiyo.
Balozi Liberata akipiga makofi
Moja wa kikundi maarufu cha ngoma ya asili kikitoa burudan
0 comments :
Post a Comment