@nkupamah blog
Aliekuwa
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiuhutubia Umati wa
wakazi wa Mji wa Tabora, waliofutirika kwa wingi kwenye Uwanja wa Town
School, kulikofantika Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais
wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Septemba 5, 2015.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama
cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, akilakiwa kwa shangwe na wananchi wa
mji wa Tabora, wakati akipita kuelekea jumwaa kuu, wakati wa Mkutano wa
Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo
Septemba 5, 2015.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mke wa Mgombea Urais
wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa, wakati alipowasini
kwenye Uwanja wa Town School, kuhudhulia Mkutano wa Kampeni,
Septemba 5, 2015.
Umati wa wananchi wa Mji wa Tabora ukiwa kwenye Mkutano huo.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama
cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, akimwaga cheche zake katika Mkutano
wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
Septemba 5, 2015.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye, akisisitiza jambo katika Mkutano wa
Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
Septemba 5, 2015.
Chopa
iliyompakia Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikipiga misele
juu ya uwanja wa Mkutano, Septemba 5, 2015, mjini Tabora.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipanda jukwaani kwa kukimbia mara baada
ya kutua na Chopa yake, Septemba 5, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Tabora, Septemba 5, 2015.
Meza Kuu.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi wa Tabora.
“Mabadilikooooooo……”
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia na kunadi sera zake kwa
wananchi wa Mji wa Tabora, wakati wa Mkutano wake wa Kampeni uliofanyika Septemba 5, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakicheza
sambamba na wananchi wa Tabora, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Town School, mjini humo Septemba 5, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mwenyekiti wake, Mh.
Freeman Mbowe, wakati wakitoka kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni,
Mjini Tabora Septemba 5, 2015.
0 comments :
Post a Comment