Chopa
ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku wananchi wa Nzega
wakiishangilia, Jana Septemba 6, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
alieambatana na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe wakiwasili kwenye
Uwanja wa Polisi Nzega, tayari kwa Mkutano wa Kampeni, leo Septemba 6,
2015.
Baadhi
ya wananchi wa Mji wa Nzega, Mkoani Tabora wakimshangilia Mgombea Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,wakati
wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi
Nzega, leo Septemba 6, 2015
Mgombea
wa Ukawa alieteuliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Mabula akizungumza
na wananchi wake kabla ya kupigiwa kura ya wazi iliyompitisha kuwania
nafasi hiyo na kumtupa nje Mwezake wa Chama cha CUF, Mezza Leonard
(hayupo pichani), wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.Kushoto
ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe
Mgombea
wa Ukawa alieteuliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Mabula (kulia)
akipeana mkono na aliekuwa Mgombea wa nafasi hiyo kwa Jimbo la Nzega
mjini, Mezza Leonard (kati) akiekubali kushindwa baada ya kupigwa kura
ya wazi na wananchi wa Nzega Mjini, leo leo Septemba 6, 2015.Kushoto ni
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega, wakati akinadi sera zake katika
Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo
Septemba 6, 2015.
Umati
wa wananchi wa Nzega, wakiwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Polisi,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia Mkutano wa hadhara wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika
mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo
Septemba 6, 2015.
Aliekuwa
Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akihutubia Mkutano
wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.
0 comments :
Post a Comment