Wananchi
wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT
lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye
namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda
Moshi Baa Dar es Salaam Jana asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali
hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo
hakuna mtu aliyejeruhiwa.
wananchi wakiangalia ajali hiyo.
Daladala hilo likiwa ndani ya genge baada ya kuacha njia.
Bajaj namba MC 611 ADC, likiwa kanda ya daladala hilo baada ya kugongwa.
0 comments :
Post a Comment