Mmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar leo
Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura
Mmoja
wa wananchi akiwa kwenye sehemu ya kupigia kura katika kituo cha
kupigia kura kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini
Dar.
Wananchi wakihakiki majina yao katika kituo cha Shule ya Sinza Mapambano jijini Dar leo.
Wananchi wakibadishana mawazo walipokuwa kwenye foleni wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shule ya Sinza Mapambano jijini Dar leo.
Wananchi wakihakiki majina yao katika kituo cha Shule Kenton Mwenge jijini Dar leo
Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha cha Shule ya Sinza Mapambano jijini Dar leo.
Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika kituo cha Shule ya Sinza Mapambano jijini Dar leo.
Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shule Kenton Mwenge jijini Dar leo
Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar leo
Umati
mkubwa ukiwa kwenye foleni katika katika kituo cha kupigia kura kwenye
Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar.
0 comments :
Post a Comment