Lipumba Abambwa Akiwa Na Viongozi Wa Ccm Usiku Dodoma



Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa Professor Ibrahim Lipumba alionekana jana usiku akiwa katika hoteli waliyopanga vigogo kadhaa wa CCM Zanzibar wanaohudhuria vikao vya chama hicho Dodoma.

Haikuweza kufahamika mara moja kama Lipumba alikuwepo kama mwalikwa ingawa ilishangaza kumuona nyakati za usiku katika hoteli hiyo akiwa na vigogo hao wa CCM Zanzibar.

Lipumba anatuhumiwa na CUF kwamba anakihujumu chama hicho na amekuwa akila Njema za kukiua .
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment